1.waumini wa kanisa la TAG magomeni linaloongozwa na mchungaji Dustan Kanemba wakiwa ibadani jumapili iliyopita
2.mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja ambaye alikuja hana fahamu alikutana na nguvu ya Mungu kutoka katika madhabahu ya Tag magomeni ambapo alifunguliwa na kuwekwa huru baada ya maombezi KATIKA kampeni ya maombi ya siku 40 Jumapili Iliyopita
3.Mchungaji Dustan Kanemba wa TAG magomeni akiwafungua WATU KUPITIA MAOMBEZI YA JINA KUU LA YESU KRISTO katika kampeni ya maombi na maombezi ya siku 40 jumapili iliyopita ambapo watu wengi waliweza kuwekwa huru baada ya maombezi
4.Kwaya ya REVIVAL YA KANISA LA TAG MAGOMENI WAKIMSIFU MUNGU KATIKA IBADA YA
JUMAPILI
No comments:
Post a Comment
0714212583