PASTOR DUNSTAN KANEMBA WA KANISA LA TAG MAGOMENI MIKUMI AKIMWOMBEA MGONJWA WA UKIMWI.
ALIYE KUWA MGONJWA WA UKIMWI ATOA USHUHUDA MBELE YA KANISA
JINSI YESU ALIVYO MREHEMU NA KUMPONYA TATIZO LA UKIMWI
KWELI KWA YESU YOTE YANAWEZEKANA.
ALIYE KUWA MGONJWA WA UKIMWI AKIWA NA
MCHUNGAJI KANEMBA
NDANI YA KANISA BAADA YA UPONYAJI ULIYO
THIBITISHWA NA MADAKTARI.
ALIYE KUWA MGONJWA WA UKIMWI AKISHUKURU BAADA YA UPONYAJI WAKE.