Monday, 23 December 2013



MCHUNGAJI KANEMBA WA TAG MAGOMENI MIKUMI AKIMTAMBULISHA ALIYEKUWA SHOGA (ANTI ASSU) YAKUWA AMEOKOKA 
NAKUJIUNGA NA KANISA LA TAG MAGOMENI MIKUMI

ANTI ASU AMBAYE SASA NI AMOSI ALIYE KUWA SHOGA MASHUGHULI AOKOKA NA KUMKABIDHI YESU MAISHA YAKE.
WAHITIMU WA SHAHADA YA KWANZA WAKIMSHUKURU MUNGU KANISANI KWA KUWAFANIKISHA KUFIKIA HATUA HIYO YA ELIMU KATIKA KANISA LA MCHUNGAJI KANEMBA LA TAG MAGOMENI MIKUMI.

BIBI MCHAWI


BIBI  HUYU ALIKUJA KUFANYA MATENDO YA KICHAWI KANISANI WAKATI WA IBADA AKAMATWA NA VIJANA WA YESU NA KUWEKWA CHINI YA USIMAMIZI 

MAMA MCHUNGAJI MARY KANEMBA AKIKAGUA VITU VYA KICHAWI VILIVYO KUWA NDANI YA MFUKO WA BIBI ALIYE KUJA KUWANGA NDANI YA KANISA LA TAG MAGOMENI MIKUMI BAADA YA KUKAMATWA.
MKE NA MUME WAKISHUHUDIA KUONEKANA KWA KAKA WA MKE WAKE ALIYEPOTEA ZAIDI YA MIAKA 16 PASIPO KUJULIKANA ALIPO AONEKANA BAADA YA MAOMBI YA SIKU 40.
  BINTI ALIYE KUWA BUBU NA KIZIWI AFUNGULIWA KUPITIA MAOMBI YA SIKU 40 YALIYO ENDESHWA NDANI YA KANISA LA TAG MAGOMENI MIKUMI DAR ES SALAAM

   BINTI ALIYE KUWA BUBU NA KIZIWI AKIZUNGUMZA BAADA YA KUFUNGULIWA  
    MATATIZO YAKE.



 MATENDO MAKUU YA MUNGU MCHUNGAJI KANEMBA AKIMSHUKURU YESU ALIYEMFUNGUA HUYU   BINTI ALIYE KUWA BUBU NA KIZIWI.




MGONJWA WA UKIMWI APONA

PASTOR DUNSTAN KANEMBA WA KANISA LA TAG MAGOMENI MIKUMI AKIMWOMBEA MGONJWA WA UKIMWI.
                     ALIYE KUWA MGONJWA WA UKIMWI ATOA USHUHUDA MBELE YA KANISA
                      JINSI YESU ALIVYO MREHEMU NA KUMPONYA TATIZO LA UKIMWI
      KWELI KWA YESU YOTE YANAWEZEKANA.

                     ALIYE KUWA MGONJWA WA UKIMWI  AKIWA NA   
               MCHUNGAJI KANEMBA
               NDANI YA KANISA BAADA YA UPONYAJI ULIYO  
               THIBITISHWA NA    MADAKTARI.

ALIYE KUWA MGONJWA WA UKIMWI  AKISHUKURU BAADA YA UPONYAJI WAKE.

Monday, 16 December 2013

Ubatizo aliye kuwa shoga












Ant ASU

SHOGA AOKOKA NA KUACHANA KABISA NA MASUALA YA USHOGA KUTOKANA NA KAMPENI MAALUM ILIYOENDESHWA NA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD LA MAGOMENI KATIKA KAMPENI YAO YA USHUHUDIAJI WENYE SHABAHA AMBAPO MATEJA VIBAKA WAKIWEPO MASHOGA NA WENGINE WENGI WAMEWEZA KUJISALIMISHA KWA BWANA YESU NA KUBADILI TABIA ZAO KABISA HUKU WENGI WAKIFUNGULIWA NA KUPONYWA KUTOKA KATIKA VIFUNGO MBALIMBALI VILIVYOWAFUNGA.KANISA HILI LIMEKUA KIMBILIO LA WENGI


Ant ASU

MUNGU MKUBWA! AUNT ASU AOKOKA,AACHANA KABISA NA MAMBO YA USHOGA

Aliyekuwa shoga maarufu aliyekuwa akijulikana kwa jina la anti asu ameokoka rasmi na kuachana kabisa na shughuli hiyo ambayo ni kinyume kabisa na maadili yetu ya kitanzania.

Blog hii ilianza kupata taarifa zake kwenye ukurasa wa instagram wa dida shaibu mtangazaji wa kipindi cha mitikisiko ya pwani wa kituo cha radio times fm.

Katika ukurasa wake huo dida ameandika aunt asu aacha ushoga amrudia mungu,na kuambatanisha picha kadhaa zikimuonesha aunt asu kabla hajaokoka na nyingine ikimuonesha baada ya kuokoka.

Aunt Asu alitangaza uamuzi wake huo katika kipindi cha mitikisiko ya pwani cha kituo cha times fm ambapo huwa ni mahususi kwa kupiga nyimbo za taarabu na habari zinazuhusu wanamuziki wa taarab na wadau wa muziki huo hapa nchini na kinaendeshwa na mtangazaji huyo Dida Shaibu mwenye masham sham mengi katika kukichagiza.

Watu kadhaa wameonekana kutoa maoni yao tofauti wakimpongeza kwa hatua yake hiyo huku wengi wakisema ama kwa hakika mungu mkubwa na inapaswa woote wenye tabia kama alizoziacha aunt asu waacha mara moja na kumrudia mungu.

Katika picha zilizooneshwa katika mtandao huo,wengi walionekana kutotambua kama aunt asu ni mwanamke au mwanaume kutokana na mavazi ya kike aliokuwa ameyavaa.
Lakini picha ya pili inamuonesha akiwa amevalia suti yu[po kanisani mara baanda ya kutangaza kuokoka.




.mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja ambaye alikuja hana fahamu alikutana na nguvu ya Mungu




 1.waumini wa kanisa la TAG magomeni linaloongozwa na mchungaji Dustan Kanemba wakiwa ibadani jumapili iliyopita


 2.mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja ambaye alikuja hana fahamu alikutana na nguvu ya Mungu kutoka katika madhabahu ya Tag magomeni ambapo alifunguliwa na kuwekwa huru baada ya maombezi  KATIKA kampeni ya maombi ya siku 40 Jumapili Iliyopita


3.Mchungaji Dustan Kanemba wa TAG magomeni akiwafungua WATU KUPITIA MAOMBEZI YA JINA KUU LA YESU KRISTO katika kampeni ya maombi  na maombezi ya siku 40 jumapili iliyopita ambapo watu wengi waliweza kuwekwa huru baada ya maombezi

4.Kwaya ya REVIVAL YA KANISA LA TAG MAGOMENI WAKIMSIFU MUNGU KATIKA IBADA YA JUMAPILI